
Washiriki wa Marathon wakijiandaa na kuanza mashindano
Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), walikuwa wadhamini wa Zanzibar International Marathon iliyofanyika siku ya Jumapili tarehe 18.07.2021 katika Uwanja wa Amani na kutoa zawadi za washindi 10 wa kwanza kwa upande wa wanawake na 10 kwa upande wa wanaume.

Zawadi wa Washindi zilikuwa kama zifuatazo.
- 1st – TZS 1,000,000
- 2nd – TZS 1,000,000
- 3rd – TZS 750,000
- 4th – TZS 500,000
- 5th – TZS 300,000
- 6th – TZS 200,000
- 7-10th – TZS 100,000
