Choum No Comments

Katika shamra shamra za kusherehekea miaka 56 ya mapinduzi ya Zanzibar mnamo tarehe 02 January, 2020 PBZ Bank imezindua huduma ya PBZ WAKALA pamoja na PBZ VISA CARD hapo Mapinduzi Square (Mnarani) na mgeni rasmi alikuwa Mh. Issa Ussi Gavu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Zanzibar.