Ugawaji wa Vifaa vya Michezo kwa JWTZ

Picha ya Pamoja ya washiriki kutoka JWTZ na PBZ Bank

Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), siku ya Jumanne tarehe 15/06/2021 ilitoa msaada wa vifaa vya michezo kwa Uongozi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika ofisi zao za Makao Makuu ya PBZ Bank Mpirani kuelekea kwenye mashindano ya vikosi. Michezo ni Afya.

Mkurugenzi mtendaji wa PBZ Bank (Kulia) akiwa na Afisa Mawasiliano JWTZ (Kushoto)

Zanzibar International Marathon