Udhamini wa Miaka 5 Ligi Kuu Zanzibar

Historia imeandikwa katika soka la Zanzibar.PBZ BANK yaingia mkataba na ZFF kudhamini Ligi Kuu Zanibar kwa miaka mitano kwa zaidi ya shilingi bilioni tatu.Mkataba huo umesainiwa tarehe 16/07/2022 katika shuhuli ya Usiku wa Mastaa wa Soka wa Zanzibar iliyofanyika katika Abla Hotel, Zanzibar chini ya Ugeni Rasmi wa Makamo wa Pili wa Rais, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.

Mpira ni ajira, Afya, Amani, Umoja, Ubalozi na Unazalisha Utalii wa Michezo.Shukran nyingi sana ziende kwa wapenzi wa soka na Watanzania kwa ujumla.

Ngao ya Jamii PBZ PREMIER LEAGUE NEW CHARGES AND FEES FOR BANK PRODUCT AND SERVICES - 2022