SUZA ORIENTATION WEEK

Afisa Mwandamizi Masoko wa PBZ Akitowa Elimu kwa Wanafunzi

PBZ BANK jana tarehe 20/10/2021 tulipata fursa ya kushiriki Orientation Week kwa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR), pamoja na mambo mengi mazuri tuliyoyafanya kwa wanafunzi hao, pia tumepata fursa ya kutowa elimu juu ya masuala ya kifedha na jinsi mwanafunzi anavyotakiwa kuishi akiwa chuoni na baada ya kumalizia chuo, pia kwa umuhimu wake tumewafungulia account (STUDENT ACCOUNT).

Wanafunzi wa SUZA Wakifatilia Mafunzo

PBZ ni mdau muhimu katika sekata za kijamii ikiwemo hii ya kielimu, kwani marakwamara huungamkono kwa namna tofauti tofauti ikiwemo mafunzo, vifaa vya kusomea na kusomeshea, na udhamini mbalimbali unaotokana na masuala ya kielimu.

Maafisa wa PBZ Wakiwakwenye Zoezi la Kuwafungulia Account Wanafunzi (STUDENT ACCOUNT)

PBZ PREMIER LEAGUE Customer Service Week