PBZ PREMIER LEAGUE

Rasmi Ligi Kuu Zanzibar kuitwa, PBZ PREMIER LEAGUE. Ikumbukwe kuwa PBZ BANK ndiyo Mdhamini Mkuu wa Ligi hiyo. Tayari ligi imeshafunguliwa tarehe 23/10/2021 kwa kipute cha Ngao ya Jamii kilichowakutanisha mabingwa watetezi wa Ligi hiyo KMKM zidi ya MAFUNZO nahatimae mwisho wa mchezo Mafunzo wakaibuka kidedea kwa Kubeba Ngao ya Jamii kwa ushindi wa 2 – 1. Tukutane viwanjani.

Wiki ya Huduma za Fedha SUZA ORIENTATION WEEK