Pbz na Udhamini wa Yamle Yamle Cup

Picha ya Pamoja Kutoka Mshiriki wa Pbz na Wawakilishi wa Kamati ya Michuwano ya Yamle Yamle

PBZ BANK ndiyo mdhamini mkuu wa michuono ya YAMLE YAMLE CUP. Hii ni kama sehemu ya kuimarisha mahusiano yetu na Umma sambamba na kuwasaidia vijana kupitia sekta hii ya michezo kwakuwa tunajuwa kwamba michezo ni Ajira, Afya, Furaha, Amani na Upendo.

Picha ya Pamoja Kati ya Wawakilishi Kutoka Pbz, Kamati ya Yamle Yamle na Wakilishi wa Timu Shiriki.

Kwapamoja tunashiriki michezo kama sehemu ya kujenga afya zetu, upendo na mshikamano, furaha na amani.

Ratiba ya Michuwano ya Yamle Yamle Cup

Twendeni viwanjani kuwaunga mkono vijana wetu. Michuwano hii imefikia katika hatuwa ya 32 bora. Nyote mnakaribishwa.

Mikutano ya YUNA, Iliyofanyika Zanzibar. Zanzibar International Marathon