Ngao ya Jamii PBZ PREMIER LEAGUE

Wachezaji wa KMKM wakiwa Kwenye Picha ya Pamoja na Viongo wa ZFF

Ligi kuu Zanzibar, ”PBZ PREMIER LEAGUE” imefunguliwa Rasmi kwa Mchuano mkali wa Ngao ya Jamii kati ya KMKM zidi ya KIPANGA mchuano uliopigwa Amani na KMKM kuibuka washindi 1 : 0

Wachezaji wa KMKM Wakiwa Kwenye Picha ya Shangwe Kubwa Baada ya Kubeba Ngao ya Jamii

Udhamini wa Miaka 5 Ligi Kuu Zanzibar