Mjadala wa Fursa za Kiuwekezaji Zanzibar

Mhe Dr. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar, kushoto na Dr. Muhsin Salim Masoud, Mkurugenzi Mwendeshaji PBZ

Siku ya Ijumaa tarehe 24/09/2021 PBZ BANK tulipata fursa yakushiriki Mjadala wa Fursa za Kiuwekezaji Visiwani Zanzibar, uliondaliwa na Clouds Media kupitia kipindi cha “The Big Breakfast” kwa kushirikiana na Zanzibar Investment Promotion Authority (ZIPA) chini ya Ugeni Rasmi wa Mhe Dr. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Kupitia mkutano huo PBZ BANK tulitunukiwa cheti maalumu cha utambuzi juu ya ufadhili wetu wa tukio hilo.

Cheti kilichotolewa kwa PBZ kama sehemu ya utambuzi wa ufadhili juu ya tukio hilo

Pbz tutaendelea kushirikiana na Serikali na wananchi kwa ujumla katika kujenga ustawi bora wa jamii zetu na Taifa kwaujumla.

Customer Service Week Malipo ya SMZ kupitia Ushirikiano wa PBZ na Tigo Pesa