Mashindano ya Ligi za Kitaasisi

Wachezaji wa Timu ya PBZ MTWARA

Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ BANK), inashiriki michuwano ya ligi za Kitaasisi inayoendelea kupigwa Mkoani Mtwara kwa upande wake na ile inayoendelea Visiwani Zanzibar.

Kupitia Michuwano hiyo PBZ BANK imezidi kung’ara ambapo kwa upande wa ligi ya Kitaasisi Mtwara, PBZ MTWARA imefanikiwa kuingia hatuwa ya Nusu Fainali baada ya kuichapa BOT( PBZ 2-0 BOT).

Wachezaji wa Timu ya PBZ ZANZIBAR.

PBZ ZANZIBAR nayo kupitia ligi ya kitaasisi Visiwani Zanzibar Imeingia hatuwa ya Robo Fainali baada ya kuifunga ZRB (PBZ ZANZIBAR 3-2 ZRB).

Michuwano hii hubuniwa kwa ajili ya kuboresha mahusiano kati ya taasisi moja na nyengine pamoja na Umma kwa ujumla.

Mkutano wa PBZ BANK na PBZ MAWAKALA Mikutano ya YUNA, Iliyofanyika Zanzibar.