Malipo ya SMZ kupitia Ushirikiano wa PBZ na Tigo Pesa

Dr. Muhsin Salim Masoud, Mkurugenzi Mwendeshaji PBZ kulia, na Ndugu. Angelica Pesha, Mkuu wa Kitengo cha Tigo Pesa Tanzania.

Siku ya Jumatano 22/09/2021 PBZ BANK kwa kushirikiana na mtandao wa simu wa Tigo (Tigo Pesa) tulizinduwa huduma itakayomuwezesha mwananchi kufanya malipo ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), kwa njia ya simu (Tigo Pesa).

Picha ya Pamoja Kati ya Wawakilishi wa Pbz na Tigo/Tigo Pesa.

Kupitia uzinduzi huu wananchi wenye kutumia Tigo Pesa, wataweza kupata huduma hii wakati wowote bila kulazimika kufika ofisini au benki.

Picha ya Pamoja Kati ya Wawakilishi wa Pbz na Tigo Pes
Mjadala wa Fursa za Kiuwekezaji Zanzibar Mkutano wa PBZ BANK na PBZ MAWAKALA