MAFUNZO YA ZAKAH

Tarehe 30/04/2022 PBZ IKHLAS iliandaa mafunzo maalum kuhusu ZAKA kwa Masheikh na Waumini wakiislam. Mafunzo hayo yalifanyika katika Ukumbi wa Msikiti wa Jaameh Zinjibaar, Zanzibar, chini ya Ugeni Rasmi wa Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Saleh Omar Kabi. Mafunzo hayo yalilenga kuwapatia maarifa waislam juu ya namna bora yakuiendea ZAKA, pamoja na kuwashajihisha juu ya suala zima la kusaidiana (mwenyeuwezo amsaidie asiyekuwanauwezo)

Mgeni Rasmi, Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Saleh Omar Kabi (wakatikati) akifuatilia mafunzo ya ZAKA kwa ukaribu

Mafunzo haya kwa udhamini wa PBZ IKHLAS kila mwaka kipindi kama hichi hufanyika. ZAKA ni nguzo ya 3 miongoni mwanguzo 5 za Uislam

Waumini wakifuatilia kwa umakini mafunzo hayo kuhusu ZAKA
UDHAMINI WA MASHINDANO YA QURAAN PBZ BANK TANDAHIMBA