Iftar Sadaka kwa Watoto Mayatima

Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ)siku ya Jumatatu ,tarehe 10/05/2021ikiongozwa na Dkt. Estella Ng’oma Hassan, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi imepata fursa ya kutembelea vituo vya kulelea watoto yatima na nyumba za wazee ambazo zipo Zanzibar na kuweza kutoa sadaka.
Vituo hivyo vilikuwa Mazizini, SOS, Faraja Center, Kidundo Center, Amani kwa Wazee pamoja na Sebleni kwa Wazee