Choum No Comments

Benki ya Watu wa Zanzibar kupitia Shirika la Posta Tanzania kutoa huduma za kifedha nchini

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Mwinyi Talib Haji amepongeza Shirika la Posta Tanzania (TPC) na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kwa kuanzisha ushirika wa kipekee unaohusisha taasisi mbili za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa ajili ya kuongeza wigo wa kuwahudumia wananchi katika huduma za kifedha. Dkt. Mwinyi ametoa pongezi hizo wakati akizindua huduma ya uwakala wa PBZ na PBZ katika ukumbi wa mikutano wa VETA uliopo jijini Dodoma

Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Hassan Mwang’ombe (aliyeketi kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Idd Haji Makame (aliyeketi kulia), wakitia saini Mkataba wa ushirika wa kutoa huduma za kifedha baina ya Shirika hilo na Benki ya PBZ. Aliyesimama nyuma mwenye tai ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Mwinyi Talib Haji pamoja na baadhi ya watendaji wakishuhudia tukio hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa VETA, Dodoma.

Aidha, Dkt.Mwinyi ametoa rai kwa TPC na PBZ kuendelea kuaminiana kwa huduma wanazozitoa ili katika ushirika wao kila mmoja atumie huduma za mwenzie na kuendelea kuimarisha utoaji wa huduma bora kwa wananchi, huku wakienda sambamba na ukuaji wa teknolojia na kuitumia ipasavyo katika kutimiza ndoto na malengo ya taasisi zao.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Mwinyi Talib Haji akielekezana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Kidawa Ahmed Saleh kabla ya kuzindua ushirika wa kutoa huduma ya fedha za benki hiyo kupitia Shirika la Posta Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa VETA, Dodoma.

Naye Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt.Jimmy Yonazi amesema TPC ni taasisi inayofanya vizuri chini ya Sekta ya Mawasiliano kwa kuwa wabunifu kujiendesha kibiashara, na kwa ushirika huu utaleta mwanga mpya kwa huduma za posta na huduma za fedha nchini na kuwa mfano kwa mataifa mengine ambapo ametoa rai kwa taasisi hizo kuhakikisha kuwa mataifa mengine ya Afrika yanajifunza kutoka kwao na kutumia ubunifu wa aina hii.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Mwinyi Talib Haji akitoa fedha kwenye dirisha la Shirika la Posta Tanzania katika uzinduzi wa huduma za uwakala baina ya Shirika hilo na Benki ya Watu wa Zanzibar uliofanyika kwenye ofisi za Posta mjini Dodoma.

Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya PBZ, Idd Haji Makame, amesema kuwa utoaji wa huduma za PBZ kupitia Shirika la TPC utakuwa rahisi na nafuu kwasababu shirika la TPC lina mtandao mpana na linapatikana kila mahali nchi nzima huku kwa upande mwingine ushirika huu utaifanya PBZ ijulikane na kuwafikia wateja wengi zaidi.

Naye Postamasta Mkuu wa Shirika la TPC, Hassan Mwang’ombe amesema kuwa ushirika huu wa uwakala wa PBZ ni mwendelezo wa Shirika lake la TPC katika kutimiza ndoto za kuwa kituo cha kutoa huduma mbalimbali mahali pamoja ili kuwawezesha wateja wa Shirika hilo na wananchi kupata huduma za aina mbali mbali mahali pamoja (one stop centre) ili kuwarahisishia wananchi kupata huduma na waweze kuokoa muda wao badala ya kutafuta huduma kwenye ofisi au taasisi tofauti ambapo itawawezesha kuendelea na shughuli nyingine za kiuchumi na kijamii.

Mwang’ombe amesema kuwa Shirika lake la TPC limeunganishwa na mashirika mengine ya posta yapatayo 660 ulimwenguni kote ambapo ushirika baina yao na PBZ utatoa fursa kwa wateja wao kutumia huduma za uwakala na huduma nyingine za TPC ndani na nje ya Tanzania

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Jimmy Yonazi akiteta jambo na PostaMasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Hassan Mwang’ombe kabla ya uzinduzi wa huduma ya uwakala baina ya Benki ya Watu wa Zanzibar na Shirika hilo uliofanyika kwenye ukumbi wa VETA, Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Jimmy Yonazi akizungumza kabla ya uzinduzi wa huduma ya uwakala baina ya Shirika la Posta Tanzania na Benki ya Watu wa Zanzibar uliofanyika kwenye ukumbi wa VETA, Dodoma. Wanaomsikiliza wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Idd Haji Makame na anayefuata ni Hassan Mwang’ombe, PostaMasta Mkuu wa Shirika hilo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Mwinyi Talib Haji (mwenye tai waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na watendaji wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) baada ya kuzindua ushirika wao wa kutoa huduma ya fedha za benki hiyo kupitia Shirika hilo uliofanyika kwenye ukumbi wa VETA, Dodoma. kushoto waliokaa ni Postamasta Mkuu wa TPC, Hassan Mwang’ombe na kulia waliokaa ni Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ, Idd Haji Makame.
Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ, Idd Haji Makame akitoa salam kutoka PBZ kwa wafanya kazi wa Shirika la Posta na Benki walihudhuria Uzinduzi huo

Source: Diramakini

Choum No Comments

Uzinduzi wa Huduma za PBZ WAKALA na PBZ VISA CARD

Katika shamra shamra za kusherehekea miaka 56 ya mapinduzi ya Zanzibar mnamo tarehe 02 January, 2020 PBZ Bank imezindua huduma ya PBZ WAKALA pamoja na PBZ VISA CARD hapo Mapinduzi Square (Mnarani) na mgeni rasmi alikuwa Mh. Issa Ussi Gavu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Zanzibar.

Choum No Comments

Uwekaji wa Jiwe la Msingi PBZ Malindi

Katika shamra shamra za kusherehekea mapinduzi ya Zanzibar mnamo tarehe 01 January, 2020 PBZ Bank imeweka Jiwe la msingi PBZ Malindi na mgeni rasmi alikuwa Mh. Amani A. Karume, Raisi mstaafu wa Zanzibar.

Choum No Comments

Declaration of Assets and Commercial Interest

BENKI YA WATU WA ZANZIBAR
KANUNI ZA UTUMISHI ZA MWAKA 2014 (chini ya kanuni ya 3.5.9)
Declaration of Assets and Commercial Interest

You can download the Code of ethic form from the link below

CLICK HERE TO DOWNLOAD PBZ_CODE_OF_ETHIC FORM

Maelezo muhimu
1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini Kanuni ya 3.5.1 hadi 3.5.10 ya Kanuni ya Utumishi ya Benki ya Watu wa Zanzibar ya mwaka 2018. Orodha ioneshe mali za kibiashara na za matumizi binafsi.
2. Kama nafasi katika fomu hii haitoshi, andika taarifa ya nyongeza katika karatasi nyengine na uiambatanishe
3. Tamko liwasilishwe kwa Mkurugenzi Mtendaji/Mkurugenzi wa Raslimali Watu na Utawala ndani ya siku thelathini kabla ya kumalizika mwaka wa fedha wa Benki.
4. Ni ukiukwaji wa maadili na kosa kwa mujibu wa Kanuni ya Utumishi ya PBZ ya mwaka 2018 kushindwa kuwasilisha Fomu ya Tamko la Mali na Madeni ndani ya muda uliowekwa.

Choum No Comments

ANNOUNCEMENT | TANGAZO

Dear our beloved customers,
We regret to announce that PBZ Bank will be closed on Saturday 1st of December, 2018 due to an upgrade of our Core Banking System.
The Internet banking service will not available too
We are sorry for any inconvenience made.
Thank you.

Mpendwa mteja wetu,
Tunasiktika kukujuilisha kuwa siku ya Jumamosi tarehe /12/2018 hatutakua na huduma za kibenki. Hii ni kutokana na kuweka mtandao mpya wa kibenki.
Huduma ya mtandao haitokuwepo pia.
Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.
Ahsanteni.

Choum No Comments

Vacancies

The People’s Bank of Zanzibar Limited (PBZ) was established in June 30, 1966 under Cap.153 of the Zanzibar Companies Decree. The primary function was to carry on the business of commercial banking activities in all of its branches and Departments within Tanzania.

The Bank is currently offering Conventional and Islamic banking services in her branches in Zanzibar, Dar es Salaam and Mtwara, with power to receive deposits, invest, lend money and other related commercial banking.

The Bank is currently undertaking expansion of her services therefore automatically demand the human capital with suitable skills and qualification to fill the following vacant posts:

1.0 POST:  BANK OFFICER

DUTY STATION:          Mtwara Branches (Conventional/Islamic)               –           4 Posts

DUTY STATION:          Pemba Branches (Conventional/Islamic)                 –           4 Posts

Successful candidates will be responsible to achieve branch targets on all parameters and provide first class Banking service in all areas of the bank’s business in order to enhance profitable operations of the branch

(a)   Minimum Qualifications, Experience and Competency:

 1. Degree in Banking, Islamic Banking, Commerce, Economics, Social Works, Marketing, Business Administration, Business Information Technology, Accounting or equivalent qualifications.
 2. Professional qualifications such as CPA, CPB and equivalent shall be added advantage
 3. Computer literacy and applications in windows, and other packages shall be considered.
 4. Some experience at bank branch operations would be desirable.
 5. Knowledge and experience in Islamic banking will be an added advantage.
 6. Interpersonal skills to create and maintain relevant business networks
 7. Smart and presentable individual
 8. Knowledge and effective application of PBZ policies, procedures and regulatory guidelines to consistently achieve required compliance standards
 9. Strong communication (writing and presentation) in English and Kiswahili
 10. Able to work independently and efficiently
 11. Age limit of forty (40) years as at 31st December, 2018

(b)     Main Duties and Responsibilities:

 1. Attend to customers’ queries courteously and promptly
 2. Authenticate the genuineness of customers before making payments.
 3. Receive cash and verify the amount and genuineness of notes received in the presence of the customer before posting.
 4. Balance cash account after day’s work.
 5. Pay cash to the right customers within the authorized limit.
 6. Perform teller’s duties with speed and accuracy.
 7. Surrender cash in hand to the custodians after closure of business.
 8. Prompt filing of documents for reference
 9. Call day’s work in order to authenticate previous work transactions.
 10. Authenticate the genuineness of instruments presented before making payments.
 11. Ensure all payments are made in accordance with the Bank’s financial regulations.
 12. Verify customer signatures and check photo identification when handling withdrawals to ensure that they are valid and there is no breach of security.
 13. Ensure that the balance of money in the drawer is accurate and accounted for.
 14. Provide information to clients on banking services in order to promote customer services.
 15. Make sure that source documents used by customers on daily operations are available before start of day.
 16. Perform teller duties with speed and accuracy.
 17. Carry out any other related duties as may be assigned by the supervisor.

2.0 POST:  BANK OFFICER

DUTY STATION:          Islamic Banking Head office – Mpirani                      –           2 Posts

(a)   Minimum Qualifications, Experience and Competency:

 1. Degree in Banking, Islamic Banking, Commerce, Economics, Social Works, Marketing, Business Administration, Business Information Technology, Accounting or equivalent qualifications.
 2. Professional qualifications such as CPA, CPB and equivalent shall be added advantage
 3. Computer literacy and applications in windows, and other packages shall be considered.
 4. Some experience at bank branch operations would be desirable.
 5. Knowledge and experience in Islamic banking will be an added advantage.
 6. Interpersonal skills to create and maintain relevant business networks
 7. Smart and presentable individual
 8. Knowledge and effective application of PBZ policies, procedures and regulatory guidelines to consistently achieve required compliance standards
 9. Strong communication (writing and presentation) in English and Kiswahili
 10. Able to work independently and efficiently
 11. Age limit of forty (40) years as at 31st December, 2018

(b)     Main Duties and Responsibilities:

 1. Financing Analysis
 2. Financing Approval
 3. Financing Documentation
 4. Perform Monitoring and evaluation of financing facilities before disbursement
 5. Follow-up of Financing Facilities
 6. Preliminary Recovery of Financing Facilities
 7. Recovery Documentation
 8. Perform Monitoring and evaluation of recovery process
 9. Perform any other related duties as may be assigned by the supervisor

3.0 POST:  OFFICE ATTENDANTS

DUTY STATION:          PBZ Head office – Mpirani                 –           2 Posts

(a)   Minimum Qualifications, Experience and Competency:

 1. Certificate of Secondary Education (Form IV) or equivalent with minimum of division IV
 2. JKU or National Service Certificate from JKT or equivalent
 3. Experience of working with Banks and/or any reputable Security Company within Tanzania with guarding experience to highly risk locations such as Banks, Embassies, Cash in Transit Motor vehicles or equivalent shall be added advantage
 4. Holder of driving license in Class D shall be added advantage
 5. Smart and presentable individual
 6. Strong communication (writing and presentation) in English and Kiswahili
 7. Age limit of forty (40) years as at 31st December, 2018

(b)     Main Duties and Responsibilities:

 1. Ensure Cleanliness of Bank premises and its surroundings
 2. Collect and dispatch messages as may be directed
 3. To assist in supply of drinks and food for other employees as may be directed
 4. To assist in photocopying and binding of Bank documents as may be directed
 5. Guide customers to respective destinations in the Bank offices
 6. Collect incoming and sent outgoing mails to and from the Post Office
 7. File Bank documents in the respective files
 8. Distribute mails, files, and messages to various locations within and outside the bank premises
 9. Carry and distribute Bank luggage and parcels to various locations within and outside the Bank premises as may be directed
 10. Escort the Cash in Transit motor vehicle as may be directed
 11. Open and lock doors of the bank premises before and after closure of business
 12. Monitor the guests and guest registers as may be directed
 13. Ensure clean and required utensils are always available for use by officers
 14. Ensure all utensils, flasks, electric kettles, etc, are securely kept
 15. Ensure the safety of the Bank premises and facilities throughout the time
 16. Perform any other duties, as may be assigned by the supervisor

4.0 TERMS OF EMPLOYMENT: Three (3) years contract (Renewable)

5.0 REMUNERATION

Attractive salary with PBZ Scales/Grades will be offered to the selected candidate together with incentive packages as per PBZ Staff regulations.

6.0 MODE OF APPLICATION

Applications from interested candidates must include the following:

 1. An application letter signed by applicant himself specifying the position they are applying for, and duty station
 2. Detailed Curriculum Vitae with e-mail, telephone number and details of two (2) referees
 3. Copies of Academic Certificates; provisional results and/or statement of results shall not be accepted irrespective of circumstances
 4. Photocopy of Zanzibar ID and letter from Sheha where the applicant is leaving for applicants of Zanzibar Posts
 5. Photocopy of National (Tanzania) ID for Mtwara Posts, and Letter from Local Government of his residential area.
 6. Two recent passport size photograph
 7. Testimonial letter from previous employer, in case the applicant has working experience

 

All applications should be addressed to:

 

 

The Managing Director

The People’s Bank of Zanzibar Ltd

P.O.BOX 1173

ZANZIBAR

 

All applications should be received not later than 10th December 2018.