Historia imeandikwa katika soka la Zanzibar.PBZ BANK yaingia mkataba na ZFF kudhamini Ligi Kuu Zanibar kwa miaka mitano kwa zaidi ya shilingi bilioni tatu.Mkataba huo umesainiwa tarehe 16/07/2022...

Read more