PBZ IKHLAS tulipata fursa ya kuyadhamini Mashindano Makubwa ya Qur’aan Afrika yaliyofanyika tarehe 17/04/2022 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kaitika jiji la Dareslaam, nchini Tanzania...

Read more

Tarehe 30/04/2022 PBZ IKHLAS iliandaa mafunzo maalum kuhusu ZAKA kwa Masheikh na Waumini wakiislam. Mafunzo hayo yalifanyika katika Ukumbi wa Msikiti wa Jaameh Zinjibaar, Zanzibar, chini ya Ugeni...

Read more