Siku ya Ijumaa tarehe 24/09/2021 PBZ BANK tulipata fursa yakushiriki Mjadala wa Fursa za Kiuwekezaji Visiwani Zanzibar, uliondaliwa na Clouds Media kupitia kipindi cha “The Big...

Read more

Siku ya Jumatano 22/09/2021 PBZ BANK kwa kushirikiana na mtandao wa simu wa Tigo (Tigo Pesa) tulizinduwa huduma itakayomuwezesha mwananchi kufanya malipo ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ)...

Read more

Siku ya Jumamosi tarehe 18/09/2021, tumekutana na Mawakala Wetu(PBZ WAKALA) katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul Wakil, visiwani Zanzibar kwa lengo la kuwapatia mafunzo pamoja na kupokea...

Read more

Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ BANK), inashiriki michuwano ya ligi za Kitaasisi inayoendelea kupigwa Mkoani Mtwara kwa upande wake na ile inayoendelea Visiwani Zanzibar. Kupitia Michuwano hiyo PBZ...

Read more