Choum No Comments

Uzinduzi wa Huduma za PBZ WAKALA na PBZ VISA CARD

Katika shamra shamra za kusherehekea miaka 56 ya mapinduzi ya Zanzibar mnamo tarehe 02 January, 2020 PBZ Bank imezindua huduma ya PBZ WAKALA pamoja na PBZ VISA CARD hapo Mapinduzi Square (Mnarani) na mgeni rasmi alikuwa Mh. Issa Ussi Gavu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Zanzibar.

Choum No Comments

Uwekaji wa Jiwe la Msingi PBZ Malindi

Katika shamra shamra za kusherehekea mapinduzi ya Zanzibar mnamo tarehe 01 January, 2020 PBZ Bank imeweka Jiwe la msingi PBZ Malindi na mgeni rasmi alikuwa Mh. Amani A. Karume, Raisi mstaafu wa Zanzibar.